rasodokijijini

Thursday, June 30, 2011






Umakini ulitawala hasa juu ya mada hii we acha tu!!!






Presentation based on UTANDAWAZI na Kijana
















Pre - On Air with Huruma Fm live Interview

Picha hii ya Juu ilikuwa kutembelea kituo cha Wazee wasiojiweza - Kisosora kata ya Chumbageni mkoani Tanga hapa wakipokea misaada.



Vijana motomoto kwa kutaka kufahamu jambo



Youth workshop Muheza District - hapa ilikuwa katika kuchangia..










Hi Guys am Back baada ya kimya cha muda mrefu!!!!!!!!!so tupo pamoja


wakulima wa Pangani hapa tukiwa shambani katika dodoso za tafiti kuhusu kpindi changu cha Wakulima Tutambuliwe kinawasaidiaje na kupata mawazo yao nini kifanyike.....








guees what are they doing.....!!!!!!!







huyo mwanadada Lillian Manyuka (Reseacher - FarmRadio International)










Feild activities Pangani District here discussion continue with Farmers although Lillian was taking a picture to them!!!!!

hapa ananukuu kile ambacho kinazungumzwa na wakulima hawa



Wednesday, June 29, 2011

Askofu wa Jimbo katoliki la Tanga Mhashamu Askofu Antony Banzi













YOUTH WORKSHOP BASED ON GLOBALIZATION -"UTANDAWAZI NA KIJANA"












during field activiies Pangani District here with Farmers

During program hapa katika moja ya vipindi vya kijamii katika Radio yetu lakini pre on Air